Projects Projects
Powered by TakingITGlobal
TakingITGlobal
Home Home Action Tools Projects TUSEME KISWAHILI [ Login | Sign Up ]

Project:
TUSEME KISWAHILI

Related Items  Related Items
Groups   Groups

TUSEME KISWAHILI

Projects   Group Blogs

TUSEME KISWAHILI



About  About
Title: TUSEME KISWAHILI
Location: Global
Status: In Planning
Timeline: 2008-01-12 to 2008-01-12
Categories: Culture

Description:
Tumearifiwa kwamba kunalo kundi la wanaTIG wanaoshughulikia tafsiri ya Kiswahili ya tovuti nzima. Tukiyangojea matokeo ya kazi yao kwa hamu, tumeamua kuunda ukumbi huu ili kuwapa wasemaji wa Kiswahili fursa kujadiliana, kuchangia fikra zao na kujieleza katika Kiswahili. Nia yetu ni kuwaunganisha wanaTIG ambao, vinginevyo, hawangeweza kuwasiliana. Tuyavunje mapingamizi yanayotuzuia, na baadaye tutaweza kuiendeleza na kuitukuza lugha yetu ....

Project Blog  Project Blog Atom Feed feed
Apr 2nd, 2008 - 06:55:57 | Terri
Siku iliyopita niliwaza na kuwazua juu ya walioathirika na kupoteza makao yao walivyojipata katika janga hili la ufukura usiooleweka hadi sasa! Mawazo haya yote yalinijia nikiwa nikishiriki misa... (read more)

Mar 20th, 2008 - 11:03:52 | Terri
Ni vema kabisa kuelewa swala au mswaada wa mambo yanavyo endela nchini Kenya.Hivi tunavyozungumza, sheria mbili mwafaka za kuidhinisha ofisi ya Waziri mkuu na pia tume ya kuchunguza na kuhakikisha... (read more)

2 Blogs view all

Who Is Involved?  Who Is Involved?
Individuals:
Administrator R Kahendi (United States)
Leader Terri (Kenya)
- Connie Wokuri (Kenya)
- NKATHA (United States)
- ()
- David (Kenya)
- David (Morocco)
- Maxence M. Melo (Tanzania)
- Christabell (Kenya)
- VICTOR RASUGU (Kenya)
- Wambui (Kenya)
- Vitalis Wafula Wekesa (Kenya)

14 Members view all

Documents  Documents